News

 

HomeNewsTAIFA LIMETAMBUA MCHANGO WA MAHALU

TAIFA LIMETAMBUA MCHANGO WA MAHALU

Na Happiness Katabazi
RAIS Jakaya Kikwete akimkabidhi cheti cha heshima Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Bagamoyo(UB), Profesa Costa Ricky Mahalu,kwa kutambua mchango wa Mahalu kwa taifa katika Kutunga Katiba iliyopendekezwa , akiwa Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba.
Licha ya Mahalu kuwa mjumbe wa bunge hilo pia ndiye aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya kutunga Kanuni zilizoliongoza Bunge kufanyakazi zake na pia Mahalu alikuwa ni mjumbe wa Kamati ya kuandika Katiba iliyopendekezwa na Bunge Hilo kuanzia Februali 18 hadi Oktoba 4 Mwaka 2014.

Imetolewa: Ofisa Habari wa Chuo Kikuu Cha Bagamoyo(UB)

Read 2952 times

Testimonies

Growing in the UB way is the dreams come true, to achieve the success will be tremendous as tutors and lecturer does at UB

«
»

Find us on Facebook

Visitor Counter

539500
Today
Yesterday
This Week
Last Week
This Month
Last Month
All days
291
530
4034
4399
14374
7328
539500

Forecast Today
384


Your IP:50.19.34.255

Find Us

+255759339495

This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

Plot No 3, N'gambo/Sembeti Street, Off Mwai Kibaki Road,Mikocheni B,Dar es Salaam

Who's Online

We have 53 guests and no members online